Top Ad unit 728 × 90

.

Kuhusu Klabu ya Simba Kuwasimamisha wachezaji wake watatu.

Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Simba leo imetangaza kuwasimamisha wachezaji wake watatu ambao ni HARUNA CHANONGO, AMRI KIEMBA na SHAABAN KISIGA kwa tuhuma za kuhusika kuihujumu timu na kuisababishia matokeo yasiyoridhisha.

Pia Kamati hiyo inawachunguza kocha msaidizi Suleiman Matola pamoja na Daktari wa timu kwa kuhusika katika hujuma hizo.

Kamati hiyo imetoa mechi TATU kwa benchi zima la ufundi kuhakikisha timu inafanya vizuri kwa kupata kati ya pointi 7 hadi 9 vinginevyo italifanyia mabadiliko makubwa benchi hilo.

Katika msimu huu wa 2014/15, Simba imecheza mechi 5, imefunga magoli 5, imefungwa magoli 5, imetoka sare mechi 5 na ina point 5. 

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Kuhusu Klabu ya Simba Kuwasimamisha wachezaji wake watatu. Reviewed by Unknown on Sunday, October 26, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.