Msanii Nicki Minaj anayetamba kwa sasa na wimbo wake "Anaconda" kutoka kwenye album yake mpya The Pink Print ambaye imefika namba 2 kwenye chati za Billboard Hot 100 ametangaza ujio wa wimbo mpya 'Only' .
Kwenye wimbo wake mpya Nicki amewasajili wasanii Drake,Lil Wayne na Chris Brown watakao sikika kwenye hii kazi mpya. Itakuwa mara ya kwanza Chris Brown na Drake wanasikika kwenye wimbo mmoja baada ya beef yao juu ya Rihanna.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Nicki Minaj Ageuka Kuwa Dj Khaled,Aweka Majina Makubwa Kwenye Wimbo Wake Mpya
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 28, 2014
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 28, 2014
Rating:
