Kutoka Swaghili Nation, Gosby anakupa Nafasi Ya Kusikiliza Drunk In love Remix
Hii kazi nyingine kutoka kwa Gosby,Haitauwa kwenye Mixtape yake mpya ila imetoka kama Promo Sing. Kwenye Mixtape mpya ya Gosby inayoitwa MissTape hatatumia beat za wasanii wengine ila amenunua beat kutoka kwa Maproducer wa nyumbani na nje pia.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Kutoka Swaghili Nation, Gosby anakupa Nafasi Ya Kusikiliza Drunk In love Remix
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating: