Adhabu Ya Chris Brown Kutoka Kwenye Kesi Ya Kumpiga Rihanna Yaongezwa,Hizi Picha Akiwa Mitaani Anafanya Kazi Za Kijamii.
Jaji anayeendesha kesi ya mwaka 2009 ya Chris Brown kumpiga na kumjeruhi Rihanna amegundua kuwa Chris hivi karibuni amevunja masharti ya kifungo cha nje kwa kuendesha gari kwa spidi mpaka kukamatwa na kulipishwa faini.
Kwa kosa hili jaji ametoa amri Chris Brown afanya kazi za kijanii kwa siku nne za wiki mpaka kumaliza kifungo cha nje January 2015.
Hizi ndio za Chris Brown Akiwa Mitaani kwenye kazi za kijamii.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Kwa kosa hili jaji ametoa amri Chris Brown afanya kazi za kijanii kwa siku nne za wiki mpaka kumaliza kifungo cha nje January 2015.
Hizi ndio za Chris Brown Akiwa Mitaani kwenye kazi za kijamii.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Adhabu Ya Chris Brown Kutoka Kwenye Kesi Ya Kumpiga Rihanna Yaongezwa,Hizi Picha Akiwa Mitaani Anafanya Kazi Za Kijamii.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating: