Top Ad unit 728 × 90

.

Mara Ngapi Baloteli Anatembelewa Na Kinyozi Nyumbani Kwake,Pesa Anazotumia Kwenye Nywele Tu.

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Mario Baloteli hutumia pauni 500 kila wiki ambazo ni sawa na Sh 72,000 (£500) kila wiki kujitengeza nywele. Baloteli anapendelea kunyoa mtindo wa Mo Hawk na kubadilisha rangi ya nywele mara kwa mara. Maria humlipa kinyozi wake ili kumtembelea nyumbani kwake mara tano kwa wiki.
Gazeti la The Sun nchini Uingereza limesema pesa hizo zimeonekana kuwa ni nyingi ila Mario hupendelea kunyolewa kila siku ili kuimarisha mtindo wake wa nywele''.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 
Mara Ngapi Baloteli Anatembelewa Na Kinyozi Nyumbani Kwake,Pesa Anazotumia Kwenye Nywele Tu. Reviewed by Unknown on Wednesday, October 29, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.