Hatimaye
Rapa Chid Benz leo amefanikiwa kupata dhamana na kutolewa rumande na
kurejea uraiani. Anatakiwa kufika mahakamani Novemba 11 ambapo kesi yake
itatajwa tena. Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Rapper Chidi Benz Apata Dhamana.
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, October 29, 2014
Rating: 5