Top Ad unit 728 × 90

.

Miaka 4 Bila Album,Namba 16 Kwenye Wasanii Wa Hiphop Waliolipwa Zaidi 2014,Hili Ndio Jipya Kutoka Kwa Ludacris

Ludacris 
Akiwa namba 16 kwenye orodha ya wasanii wa hiphop waliolipwa pesa nyingi zaidi mwaka huu kwa kulipwa dola million 8, Ludacris ametangaza ujio wa album mpya kupitia twitter. Ni miaka minne imepita toka ametangaza ujio wa album mpya iliyopewa jina Ludaversal. Album hii inatoka kupitia studio za Def Jam na mpaka sasa tarehe iliyoripotiwa ni March 31, 2015.

Nyimbo zilizotoka ni pamoja na  Jingalin, Representin na Rest of My Life  luda

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Miaka 4 Bila Album,Namba 16 Kwenye Wasanii Wa Hiphop Waliolipwa Zaidi 2014,Hili Ndio Jipya Kutoka Kwa Ludacris Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.