Top Ad unit 728 × 90

.

Sio Kila Siku Msanii Mpya Unasifiwa Na Wakongwe,Alichosema Andre 3000 Kuhusu Msanii Future.

andre-3000-future 
Kauli ya rapper Andre 3000 iliyochukuliwa kama sifa kubwa kwa msanii Future pale Andre aliposema Future ni msanii mwenye akili na uwezo mkubwa sana na dunia isimchukulie poa tu. Vibe 3 imeripoti kuwa Andre amesema anauwezo mkubwa ila anachukuliwa poa kwa sababu anafanya muziki wa trap.
Andre anasema alipata nafasi ya kukaa na Future na aligundua jamaa ameweza kurekodi nyimbo tatu bora ndani ya usiku mmoja au saa chache tu. Nyimbo hizi ni  Tony Montana,Racks na Turn Off The Lights.

Inasemekana Andre atamshirikisha Future’ kwenye album yake mpya baada ya Future kumshirikisha kwenye wimbo wake 'Benz Friendz'.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Sio Kila Siku Msanii Mpya Unasifiwa Na Wakongwe,Alichosema Andre 3000 Kuhusu Msanii Future. Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.