Top Ad unit 728 × 90

.

#Mitindo Unapenda Buti Za Timberland,Hichi Kipya Kutoka Kwao

timber 2
Wanasema ni imited edition collection, Timberland wametoa Super Boot ambayo toleo lake la kwanza lilikuwa mwaka 1979 kupitiaHazel Highway collection. Tofauti ni kuwa kiatu hichi sasa kimetengenezwa kwa ngozi nzito na ngumu zaidi. Timberland imeshirikiana na KnowUsena Street Etiquette kukuletea buti hili ambalo liligunduliwa miaka 35 iliyopita.


timber 3 timber 4 timber 5 timber 

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
#Mitindo Unapenda Buti Za Timberland,Hichi Kipya Kutoka Kwao Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.