Top Ad unit 728 × 90

.

Picha, Kofia Mpya Za Ovo Kutoka Kwa Drake

Rapper Drake kutoka Canada ameonyesha toleo jipya la kofia kupitia bidha yake ya OVO kama heshima kwa mji wa Toronto alipotokea.

Drake ambaye ni msanii wa lebel ya Young Money amewakilisha mji huo kuwa kutoa shavu kwa mitaa yake ya nyumbani kupitia kofia za OVO zilizoandikwa mitaa ya  “West End” na “East End”. Kupitia account yake ya Instagram Drake amefahamisha watu kuwa bidha zaidi kuhusu alipotoka zitatoka hivi karibuni zikiwemo T Shirt na kofia zaidi
dd 2

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha, Kofia Mpya Za Ovo Kutoka Kwa Drake Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.