Top Ad unit 728 × 90

.

Huyu Rapper Aliyejisalimisha Polisi Na Makosa Anayokabiliwa Nayo.

jb
Rapper Joe Budden ameripotiwa kujisalimisha kwenye kituo kimoja cha polisi cha New York.Hii imethibitishwa na post ya twitter ya kituo cha polisi kuwa rapper Joe Budden amejisalimisha baada ya kutangazwa kuwa anatafutwa na polisi kwa kosa la Unyanganyaji.
Joe anakabiliwa na kosa la kumpokonya binti mwenye miaka 25 simu yake ya mkononi mnamo August 18. Taarifa zingine za kukamatwa kwa Joe Budden zinahusishwa na kumpiga msichana aliyekuwa mpenzi wake na kumsababishia majeraha. Hii ndio ilikuwa stori yake> Joe

Kupata Stori, Nyimbo Na Interviews Za  Sammisago.com , Bonyeza Hizi Tuwe Pamoja>> Instagram , Twitter Na Facebook
Huyu Rapper Aliyejisalimisha Polisi Na Makosa Anayokabiliwa Nayo. Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.