Picha, Mariah Carey Kwenye Show China,Vazi Lake Lazua Gumzo.
Ata na matatizo ya ndoa msanii Mariah Carey anajitaidi awezavyo kufanya kazi kama kawaida, Hivi karibuni alikuwa kwenye show huko Shanghai China kwenye uwanja wa mpira. Nguo aliyovaa na na muonekano wake umezua gumzo kwenye mitandao.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha, Mariah Carey Kwenye Show China,Vazi Lake Lazua Gumzo.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 21, 2014
Rating: