Hizi
Picha Za Birthday Party Ya Chege aliyofanyiwa na marafiki kinondoni
usiku wa kuamkia 9/10/2014.Wasanii waliohudhuria ni pamoja na Madee,
Temba, Diamond, Aslay, Maromboso, Shilole, Nuh Mziwanda na Wengine
wengi. Ma Dj wa radio tofauti pia walikuwepo.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook