Picha,Shilole Na Nuh Mziwanda Wakiwa Kwenye Birthday Party Ya Chege.
Ili kujenga mahusiano yao na kuepuka mifarakano Shilole na Nuh ni
wapenzi wanaopenda kwenda kila mahali pamoja, njia wanayotumia kuwa
pamoja wanapotoka ni kuwa na mipango sawa na usafiri mmoja wanaotumia
wote. Hizi picha zao wakiwa kwenye Birthday Party ya Chege,ni Exclusive
hapa Sammisago.com .
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Shilole Na Nuh Mziwanda Wakiwa Kwenye Birthday Party Ya Chege.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: