Picha Za Sherehe Ya Siku Ya Msanii Ilivyoadhimishwa Tanzania.
Siku ya msanii duniani imeadhimishwa Tanzania 25/October/2014 Mlimani City kwenye sherehe iliyohudhuriwa na Wasanii na wadau wa sanaa Tanzania. Mgeni rasmi wa sherehe hii alikuwa Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Hizi picha za sherehe yote na wasanii waliofanya show.
Hizi picha za sherehe yote na wasanii waliofanya show.
Picha Za Sherehe Ya Siku Ya Msanii Ilivyoadhimishwa Tanzania.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, October 26, 2014
Rating: