Picha Za El Clásico,Neymar, Luis Suarez,, Na Lionel Messi Wapo.
Real Madrid wameshinda El Clásico kwenye uwanja wa Bernabeu. Barcelona wamepoteza mchezo wao wa kwanza kwenye msimu huu huku mchango wa Luis Suarez umeonekana zaidi kwenye mechi hii, Ronaldo ameongeza magoli na kuwa na magoli 21 kwenye msimu huu.
Picha Za El Clásico,Neymar, Luis Suarez,, Na Lionel Messi Wapo.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, October 26, 2014
Rating:











