Kwanza ilionekana kama Amber Rose alikuwa anataka kuwa na Nick Cannon, siku chache baadae akaonekana na Nick Simmons, sasa hii video mpya ya wao pamoja imeonyesha sura mpya kuwa kuna kitu kinaendelea kati ya Nick na Amber.Cannon
na Rose wameonekana pamoja ijumaa hii wakiwa kwenye sehemu ya starehe.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Amber Rose Na Mume Wa Mariah Carey 'Nick Cannon' Wakiwa kwenye mtoko.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, October 19, 2014
Rating: 5