Picha,Blac Chyna Arudiana Na Tyga
Mama mtoto wa Rapper Tyga 'Blac Chyna' ametumia instagram kufahamisha mashabiki kuwa amerudiana na Tyga na kwamba yule binti aliyeripotiwa kuwa anatoka na Tyga 'Kylie Jenner' ameachwa.
Miezi miwili iliyopita iliripotiwa kuwa wapenzi hawa wameachana na kwamba Blac Chyna amebaki na mtoto wao.
Miezi miwili iliyopita iliripotiwa kuwa wapenzi hawa wameachana na kwamba Blac Chyna amebaki na mtoto wao.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Blac Chyna Arudiana Na Tyga
Reviewed by Unknown
on
Thursday, October 16, 2014
Rating: