Exclusive Video Ya Nuh Mziwanda Akizungumzia Kuishi Na Watoto Wa Shilole
Kwenye Exclusive Inteview na sammisago.com msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anamahusiano na msanii mwenzake Shilole amesema anawapenda watoto wa Shilole wawili ambao ni Rahma na Joyce.
"Watoto wananiita Uncle, wakiwepo nyumbani kuna kazi hata sifanyi, wananiwekea maji ya moto, asubuhi huniwekea chakula mapema na Joyce ambaye ni mkubwa ananielewa na hunisaidia kila kitu"
Interview Iko hapa Bonyeza Play Kutazama.
"Watoto wananiita Uncle, wakiwepo nyumbani kuna kazi hata sifanyi, wananiwekea maji ya moto, asubuhi huniwekea chakula mapema na Joyce ambaye ni mkubwa ananielewa na hunisaidia kila kitu"
Interview Iko hapa Bonyeza Play Kutazama.
Exclusive Video Ya Nuh Mziwanda Akizungumzia Kuishi Na Watoto Wa Shilole
Reviewed by Unknown
on
Thursday, October 16, 2014
Rating: