Picha,Nick Cannon Afunika Tattoo Kubwa Ya Jina La ‘MARIAH’ Aliyochora Mgongoni
Wapenzi huambiana ‘Chora Tattoo
ya jina langu nijue unanipenda sana’ ila baada ya muda wapenzi wengi
hujutia jambo hili na kutumia nguvu nyingi kufuta au kufunika tattoo hio
na picha nyingine ambayo hawakutegemea kuchora. Miaka kadha iliyopita
Nick alichora tattoo ya jina la Mariah mgongoni kama ishara ya mapenzi
ya kweli ka mke wake ila juzi kwenye club inayoitwa Playhouse
Nightclub mgongo wa Nick ulionyesha picha nyingine ambayo imeripotiwa
kuwa ni ya Yesu akiwa msalabani na mabawa ya malaika yakiwa pembeni
mwake.
Picha,Nick Cannon Afunika Tattoo Kubwa Ya Jina La ‘MARIAH’ Aliyochora Mgongoni
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: