Picha Za Birthday Party Ya Diamond Ndio Hizi
Staa wa bongo fleva Nasib Juma Abdul aka
Diamond Platnumz amesherekea siku yake ya kuzaliwa leo October 2 2014
kwenye sherehe iliyofanyika Golden Jubilee Towers jijini Dar es salaam
ndani ya Kilimanjaro hall. Sherehe imehudhuriwa na wasanii kama Nuh
mziwanda, Chege, T.I.D, Chidi Benz, Ommy Dimpoz, Profesa Jay, V Money na
wengine wengi.
Hizi ndio picha nilizopata Leo
Picha Za Birthday Party Ya Diamond Ndio Hizi
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: