Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Tamko Kamili Kuhusu Umri Halisi Wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu.

Lino International ambao ni waandaji wa shindano la Miss Tanzania 2014 wakishirikiana na Redds wamekutana leo jijini Dar es salaam na waandishi wa habari ili kuzungumza nao kuhusu skendo ya umri halisi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.

Skendo hii haiwahusu mshindi wa pili Lilian Kamazima au wa tatu Jihhan Dimachk. Taarifa zilizosamba kwenye mitandao ya kijamii Tanzania ni kwamba Sitti hakuwa mkweli na umri wake baada ya kusema anamiaka 18 huku vitambulisho vikionyesha anamiaka 26.

Mkurugenzi wa Lino International Agency Hashim lundenga amesema tuhuma za kuwa miss Tanzania anamtoto sio kweli na kwamba hairuhusiwi kwa mshindani wa Miss Tanzania kuwa na Mtoto. Pia Hashim ameonyesha vyeti halisi vya kuzaliwa vya Sitti abavyo vimeonyesha amezaliwa 31,May,1991.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook


Picha,Tamko Kamili Kuhusu Umri Halisi Wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu. Reviewed by Unknown on Tuesday, October 21, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.