Peter Msechu,Director Wa Video Kenya Ameniangusha,Ntafanya Video Yangu Tanzania.
Peter Msechu amesema video yake mpya iliyotakiwa kutoka mwezi wa
kumi mwaka huu imecheleweshwa na director wa video kutoka Kenya
aliyetakiwa kutayarisha video hio.
Peter anasema director huyo amemuangusha kwenye kazi hio na ameamua kufanya video hio Tanzania.Kazi anayofanya sasa ni kutafuta mazingira mazuri ya kufanyia video hio ambayo bado hayajatumika.
Peter anasema director huyo amemuangusha kwenye kazi hio na ameamua kufanya video hio Tanzania.Kazi anayofanya sasa ni kutafuta mazingira mazuri ya kufanyia video hio ambayo bado hayajatumika.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook 
Peter Msechu,Director Wa Video Kenya Ameniangusha,Ntafanya Video Yangu Tanzania.
 Reviewed by Unknown
        on 
        
Tuesday, October 21, 2014
 
        Rating:
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
Tuesday, October 21, 2014
 
        Rating: 
       Reviewed by Unknown
        on 
        
Tuesday, October 21, 2014
 
        Rating:
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
Tuesday, October 21, 2014
 
        Rating: 