Post Ya Sitti Abbas Mtevu Kuhusu Uvumi Kuwa Amejivua Taji.
Baada ya kuwa na uvumi kuwa amejivua taji la Miss Tanzania,post iliyowekwa kwenye ukurasa feki wa facebook wa Sitti, Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu amekanusha taarifa hizi kwa kuweka post kweny kurasa yake halisi.
Feki
Halisi
Feki
Post Ya Sitti Abbas Mtevu Kuhusu Uvumi Kuwa Amejivua Taji.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, October 26, 2014
Rating:
