Picha,Wizkid Akamilisha Video Ya Dont Cry Wimbo Aliofanya Na Radio & Weasel.
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu zaidi
kama Wizkid, amekamilisha kazi ya upigaji picha za video ya Don't Cry na
wasanii Radio pamoja na Weasel huko Uganda.
Wizkid anayefanya vizuri katika anga za kimataifa, akifanikiwa kuwaweka katika rekodi zake wasanii wakubwa akiwepo Tyga, Chris Brown na wengine, sambamba na upigaji picha za video hii, pia ameweza kutumbuiza huko Uganda na vilevile Kenya katika ziara yake hii kubwa Afrika Mashariki.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Wizkid anayefanya vizuri katika anga za kimataifa, akifanikiwa kuwaweka katika rekodi zake wasanii wakubwa akiwepo Tyga, Chris Brown na wengine, sambamba na upigaji picha za video hii, pia ameweza kutumbuiza huko Uganda na vilevile Kenya katika ziara yake hii kubwa Afrika Mashariki.
Matunda yanayotokana na ziara ya staa huyu pia ni pamoja na kolabo na
msanii Victoria Kimani ambaye walikutana na huko Kenya na kupata nafasi
ya kufanya kazi studio kwa pamoja.
Picha,Wizkid Akamilisha Video Ya Dont Cry Wimbo Aliofanya Na Radio & Weasel.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, October 26, 2014
Rating: