Top Ad unit 728 × 90

.

Rapper Tyga Azungumzia Kutoka Young Money,Kwanini Anawachukia Drake Na Nicki Minaj.

Rapper Tyga anaendelea kuonyesha dalili za kutaka kujitoa Young Money baada ya kuweka wazi kuwa hampendi rapper wa kundi hilo Drake.
Kwenye mahojiano na jarida la Vibe Tyga anasema "Lebel yangu ya Young Money haitahusika kwenye ubinofu wa nyimbo kwenye album yangu mpya ya The Gold Album"

Kuhusu Drake na Nicki Minaj, Tyga anasema "Najitenga na hawa watu sababu sielewani na Drake wala Nicki Minaj, Simpendi Drake sababu yuko Fake sana, siko Young Money sababu yao, Niko pale sababu ya Lil Wayne, Drake ni rapper mzuri ila kibinadamu sio mtu wa kweli ni fake sana"

Tyga pia anasema wasanii waliomuhamasisha kufanya vizuri ni rapper Kanye West Jay Z, Eminem, and Lil Wayne as artists who gave him inspiration.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Rapper Tyga Azungumzia Kutoka Young Money,Kwanini Anawachukia Drake Na Nicki Minaj. Reviewed by Unknown on Thursday, October 23, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.