Snoop Azungumzia Kumaliza Beef Na Iggy Azalea,Alipigiwa Simu Na Huyu Msanii.
Snoop Dogg amezungumza na mashabiki wake na wa Iggy na kusema amemaliza beef na Iggy baada ya kupokea simu kutoka kwa msanii aliyemgundua Iggy ambaye pia ndio mmiliki wa record lebel yake rapper T.I.
Snoop anasema 'Nimetoka kuzungumza na T.I Mfalme wa Atlanta na tumemaliza beef na Iggy, naomba msamaha kwa niliowakosea na namuomba msamaha Iggy Pia.
October 12 Snoop Dogg aliweka picha ya Instagram ya mwanamke albino na kuandika “Iggy Azalea No Make Up.” Kitendo kilichokera wengi na kumfanya Iggy amjibu kwa maneno makali twitter.
Snoop Azungumzia Kumaliza Beef Na Iggy Azalea,Alipigiwa Simu Na Huyu Msanii.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, October 16, 2014
Rating: