Umeona Hii Kutoka Twitter Leo,Fid Q Kuhusu Miaka Ya Miss Tanzania
Pamekuwa na majibu tofauti kuhusu miaka halisi ya miss Tanzania, kwenye mitandao watu wamelalamika kuwa hana miaka kumi na nane kama ilivyoripotiwa mapema. Swali kutoka kwa Fid Q ndio hili.
"Ikiwa huyu ni Mwanaspoti na ana miaka 17 na hatujastuka sana.. Kwanini tustuke kwa binti ' Mrembo ' kuwa na 18!!?
"Ikiwa huyu ni Mwanaspoti na ana miaka 17 na hatujastuka sana.. Kwanini tustuke kwa binti ' Mrembo ' kuwa na 18!!?
Umeona Hii Kutoka Twitter Leo,Fid Q Kuhusu Miaka Ya Miss Tanzania
Reviewed by Unknown
on
Thursday, October 16, 2014
Rating: