Wiki Checha Baada George Clooney Kuoa,Hili Jipya Kuhusu Mke Wake.
Amal Alamuddin ambaye ni mke wa mwigizaji George Clooney ameripotiwa kukubali kubadilisha jina na kuchukua jina la mume wake na kuanza kuitwa rasmi Mrs Amal Clooney.
Mpaka sasa haijawekwa wazi kama jina la mume wake litakuwa la katikati au la mwisho [ Amal Alamuddin Clooney] au atafupisha nakuitwa Amal Clooney.
Wiki Checha Baada George Clooney Kuoa,Hili Jipya Kuhusu Mke Wake.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: