Ariana Grande na Big Sean Wa Thibitisha Kuwa Wapenzi,Hii Picha Yasema Yote.
Baada ya mahusiano ya mastaa wengi kuvunjika hivi karibuni pamekuwa na hali ya kutoamini mahusiano na mapenzi ya mastaa. Kitu hichi hakujamzuia Ariana Grande na Big Sean kuanzisha mahusiano yao na kujitangaza rasmi.
Kwenye mahojiano na Telegraph Magazine, Ariana Grande amethibitisha kuwa ni wapenzi na wanapendana sana.
Kwenye mahojiano na Telegraph Magazine, Ariana Grande amethibitisha kuwa ni wapenzi na wanapendana sana.
Ariana Grande na Big Sean Wa Thibitisha Kuwa Wapenzi,Hii Picha Yasema Yote.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: