Top Ad unit 728 × 90

.

Baada Ya Kufungwa Mechi Kumi,Huyu Kocha Afukuzwa Kazi,David Moyes Ahusishwa Na Nafasi Yake.

Klabu ya La Liga ya Real Sociedad imemfukuza kazi kocha wao Jagoba Arrasate jumapili iliyopita baada ya kushinda mchezo mmoja tu ndani ya michezo kumi.
Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes ndiye amehusishwa na kuchukua mikoba ya kocha huyu. Arrasate ameshindwa kushinda michezo yote ya mwezi September na October.  
 Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 
Baada Ya Kufungwa Mechi Kumi,Huyu Kocha Afukuzwa Kazi,David Moyes Ahusishwa Na Nafasi Yake. Reviewed by Unknown on Monday, November 03, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.