Top Ad unit 728 × 90

.

Kuhusu Wimbo Mpya Wa Kala Jeremiah,Unatoka Lini Na Kwanini Kapania.

Rapper Kala Jeremiah amezungumzia kufunga mwaka kwa style baada ya kujipanga kutoa wimbo mkubwa kama 'Dear God' ilivyokuwa.
Kwenye interview na Kala Jeremiah amesema "Mwezi wa 11 hautaisha nitaachia wimbo ambao utamgusa kila Mtanzania, unamuhusu kila moja, Kiukweli huu wimbo watu wakisikiliza watalia, Ukisikiliza mwanzo mpaka mwisho wa wimbo utatoa machozi, sijawahi kufanya wimbo kama huu kwenye maisha yangu ya muziki "

Wimbo wa mwisho kutoka kwa Kala Jeremiah ulikuwa Simu Ya Mwisho aliyofanya na Nay Wa Mitego na Mo Music.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 
Kuhusu Wimbo Mpya Wa Kala Jeremiah,Unatoka Lini Na Kwanini Kapania. Reviewed by Unknown on Monday, November 03, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.