Baada Ya Miezi Sita,Rihanna Ameungana Tena Na Mashabiki Wake Wanaotumia Instagram.
Rihanna mwenye watu wanaomfuatilia instagram milioni 13amerudi instagram na kuweka picha yake ikiwa na ujumbe wa“Hellurrr #badgalback.”
Kurasa yake ilifungwa May 2014 baada ya kuweka picha zake akiwa kifua wazi zilizopigwa kwaajili ya jarida la ufarasa la Lui.Rihanna anatumia @badgalriri
Baada Ya Miezi Sita,Rihanna Ameungana Tena Na Mashabiki Wake Wanaotumia Instagram.
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 03, 2014
Rating: