Cam'ron Azungumzia Mauzo Makubwa Ya Mask Za Ebola Alizobuni,Mpaka Sasa Kauza Ngapi
Rapper Cam'ron aliyetangaza hivi karibuni kuwa anauza mask za kuziba midomo na pua kwa wale wanaotaka kujikinga na Ebola na bado kuwa na muonekano mzuri amesema mpaka sasa ameuza mask 5000.
Akiongea na Tmz Cam'ron aliulizwa kama mask hizo zinaweza kuzuia Ebola, alichojibu ni kwamba yeye sio mwana sayansi wala mtalamu wa magonjwa ila kama upo tayari kununua mask zinazouzwa kwenye maduka ya dawa za mafua basi ata zake zinafanya kazi hio.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Cam'ron Azungumzia Mauzo Makubwa Ya Mask Za Ebola Alizobuni,Mpaka Sasa Kauza Ngapi
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 03, 2014
Rating: