Picha Za Instagram Party Ya Dar es salaam,Washkaji Wakila Good Time Escape 1 @Instagrampartytz
Usiku wa November 1 2014 pale Escape 1 Dar es salaam, Wanangu walipata good time yakutosha kutoka kwa waandaji wa Instagram party, Redcarpet na muziki mzuri, marafiki wazuri na good company ya wanachuo. Watumiaji wa instagram Dar es salaam wamekutana na kubadilishana Instagram Handle zao.
Hizi picha Exclusive nilizopata Usiku wa Instagram Party Dar es salaam.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Hizi picha Exclusive nilizopata Usiku wa Instagram Party Dar es salaam.

Picha Za Instagram Party Ya Dar es salaam,Washkaji Wakila Good Time Escape 1 @Instagrampartytz
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 02, 2014
Rating: