Ukimya wa muda mrefu na kazi tofauti za kijamii zimemweka mbali na muziki msanii Ray C, ila sasa ametangaza ujio wa wimbo wake mpya. Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook