Top Ad unit 728 × 90

.

Picha Na Info,Lite Up The Weekend Ilivyohitimishwa Na Yacht Party,Ikitokea Tena Usikose Mwanangu.


Wikiendi iliyopita ilishuhudia kilele cha kampeni ya Lite Up The Weekend ambayo iliyoendeshwa na bia ya Castle Lite huku ikihusisha wanywaji wa bia hiyo waliopata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwa kutuma namba za ndani ya kizibo. Katika siku hiyo washindi wa droo kubwa walipata nafasi ya kukutana na kujumuika katika Yacht Party iliyoanzia katika ya hoteli ya Coral Beach kabla ya kupanda Yacht iliyowapeleka katika kisiwa cha Mbudya.



Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika party hiyo.
Baadhi ya wapenzi wa bia ya Castle Lite katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana hoteli ya Coral Beach siku ya Ijumaa
Pozi la picha ya ukumbusho katika Yacht
Hali ya hewa iliruhusu wote kufurahia uwepo wao katika tukio hili
 Hali ya hewa iliruhusu wote kufurahia uwepo wao katika tukio hili
Hakuna Party bila selfie kama wanavyoonyesha wawili hawa
Safari ikaishia katika kisiwa cha Mbudya ambako walishuka kuburudika
Mpira wa miguu ufukweni ni raha kwa kila mtu bila kujali jinsia
Stori za hapa na pale mara baada ya kurejea hoteli ya Coral Beach
Castle Lite ikiendelea kuwaburudisha
Chakula cha jioni kwa wote  

 
 



 

 
 


 Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana. Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Picha Na Info,Lite Up The Weekend Ilivyohitimishwa Na Yacht Party,Ikitokea Tena Usikose Mwanangu. Reviewed by Unknown on Wednesday, November 19, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.