Shaa Amtaja Msanii Aliyewezesha Collabo Yake Na Redsan Wa Kenya
Kwenye Exclusive interview na msanii Shaa wa Mj Records, amezungumzia kukutanishwa na msanii Redsan ambaye anaaminika kuwa msanii mkubwa sana Kenya na ngumu kumpata kwaajili ya collabo, Shaa anasema
"Ay na Unity Entertainment ndio wamewezesha collabo hii,wametukutanisha na mpaka kwenye siku ya Video walikuwepo na wakajumuika nasi "
Shaa anaendelea kusema kuwa "kwenye interview huko Kenya alishangaza watu kwa kumpata Redsan kwenye wimbo wake kwani ni msanii wa kipekee huko Kenya ambaye ukifanya naye kazi itafungua milango mingi"
Shaa anasema collabo nyingine na Wakenya zinakuja, Octopizzo yupo kwenye list. Hii ndio video yenyewe inaitwa Njoo.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook

Reviewed by Unknown
on
Saturday, November 01, 2014
Rating: