Video Mpya Ya Redsan,Wimbo Amemshirikisha @NailahNyLa Wa Brick & Lace.
Kutoka kwenye wimbo mkali wa Alaine na Wyre, Demarco na Redsan,bado tunaona collabo mpya za Wakenya na Wajamaica. Hii video mpya ya Redsan aliyofanya na msanii wa kundi la Brick & Lace 'Nyla' wimbo unaitwa Touch Me There. Video imetayarishwa na Enos Olik Na Rona Cohen.
Video Mpya Ya Redsan,Wimbo Amemshirikisha @NailahNyLa Wa Brick & Lace.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, November 01, 2014
Rating:
