Top Ad unit 728 × 90

.

Video Mpya Ya B.O.B Aliyomshirikisha Trey Songz “Not For Long” Ndio Hii.

Hii video mpya ya msanii wa T.I , B.O.B aliyomshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Not For Long”. Kwenye wimbo unamsikia B.OB Na Trey wakimwambia binti flani kuwa anafanya kosa kuwa kwenye mapenzi na mtu fulani badala ya kuwa na wao.  
"You will be mine, even if you’re somebody else’s…but not for long!”
 
 Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   

Video Mpya Ya B.O.B Aliyomshirikisha Trey Songz “Not For Long” Ndio Hii. Reviewed by Unknown on Thursday, November 20, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.