Top Ad unit 728 × 90

.

#BreakingNews Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu amejivua taji la miss Tanzania 2014

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu amejivua taji la miss Tanzania 2014, kwa sasa taji atavalishwa mshindi wa Pili,Lilian Kamazima(Kulia). 

Sitti amelivua taji hilo baada ya kuandika barua kwa kamati ya miss Tanzania, November 5 2014 na kuwaambia uamuzi wake.

Sitti alikuwa akikabiliwa na tuhuma za kudanganya umri wake, Baraza la sanaa la taifa BASATA likapewa amri kufuatilia swala hili.

Sitti >shutuma za mimi kudanganya umri zimeandikwa kila mahali, zinahatarisha maisha yangu, sasa kwa hiari yangu tena bila kushawishiwa na mtu na kwa kulinda heshima yangu na familia yangu natamka rasmi kuvua taji la miss Tanzania 2014'

Sitti Tena>Leo nalivua taji rasmi nililopewa na binadamu, lakini alilonipa mwenyezi Mungu bado ninalo, Naomba radhi Watanzania wote kwa uamuzi niliochukua.
 

Huyu ndio Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   


mshindi wa Pili, Salma Saleh (kushoto)

Make money by Copying: http://bit.ly/copy_win
#BreakingNews Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu amejivua taji la miss Tanzania 2014 Reviewed by Unknown on Saturday, November 08, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.