Ilikupita Interview Na Mwana FA Jana, Hii Video Yake 'Mfalme' Na Vyote Alivyosema.
Ijumaa ya 07/11/2014 nilifanya Exclusive Inteview na Mwana FA Kuhusu video yake na wimbo wake mpya aliofanya na Ali kiba.
Video Bora>Mwana FA Amesema hii ndio video yake bora kuliko video zake zote za muziki na kwamba ataendelea kutengeneza video bora zaidi katika kila wimbo anaofanya.
Idea Ya Video Ya Kiboko Yangu> Mwana FA Amesema video atafanya hivi karibuni na wazo la stori ya video limetoka kwa Mike T.
Kuhusu Uwezekano Wa Collabo na Lady Jay Dee> Mwana FA Amejibu SIJUI
Video imetengenezwa na director Kevin Bosco Jr. wa Decent Media ya Kenya.Audio imefanywa na Nahreel na kuwa mastered na Marco Chali wa Mj Records.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Video Bora>Mwana FA Amesema hii ndio video yake bora kuliko video zake zote za muziki na kwamba ataendelea kutengeneza video bora zaidi katika kila wimbo anaofanya.
Idea Ya Video Ya Kiboko Yangu> Mwana FA Amesema video atafanya hivi karibuni na wazo la stori ya video limetoka kwa Mike T.
Kuhusu Uwezekano Wa Collabo na Lady Jay Dee> Mwana FA Amejibu SIJUI
Video imetengenezwa na director Kevin Bosco Jr. wa Decent Media ya Kenya.Audio imefanywa na Nahreel na kuwa mastered na Marco Chali wa Mj Records.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Ilikupita Interview Na Mwana FA Jana, Hii Video Yake 'Mfalme' Na Vyote Alivyosema.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, November 08, 2014
Rating: