Amigolas, Muimbaji Wa Bendi Ya Twanga Pepeta Afariki Dunia.
Muimbaji maarufu wa bendi ya Twanga Pepeta, Amigolas amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili ya 09/11/2014. Mauti imemkuta Amigolas akiwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es salaam akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Amigolas alikuwa na Twanga Peteta toka mwaka 1995. Aligundua anamatatizo ya moyo mwaka jana.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Amigolas, Muimbaji Wa Bendi Ya Twanga Pepeta Afariki Dunia.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 09, 2014
Rating: