Picha, Diamond Platnumz Na Zari The Boss Lady Waliingia Studio Kurekodi Wimbo,Producer Pia Ndio Huyu.
Mwimbaji na super star kutoka Uganda Zari The Boss Lady na Diamond Platnumz kutoka Tanzania wamefanya wimbo kwa lugha ya kiswahili hapa Dar es salaam. Sammisago.com imepata taarifa za mwanzo kuwa walikuwa studio za Surround Sound Studios. Walienda studio saa mbili kamili na kutoka saa kumi asubuhi, Hii ndio post ya Zari kuhusu muda wao Dar es salaam. Tudd Thomas ndio producer wa hii kazi.
Picha, Diamond Platnumz Na Zari The Boss Lady Waliingia Studio Kurekodi Wimbo,Producer Pia Ndio Huyu.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 09, 2014
Rating: