Top Ad unit 728 × 90

.

Ata Baada Ya Kupokelewa Na Mitazamo Hasi Sababu Ya Rangi Yake,Trina Anamtazamo Tofauti Juu Ya Iggy Azalea

Iggy Azalea amepokelewa na mitazamo tofauti baada ya kuteka mashabiki wa hip-hop kwa muda mfupi kupitia nyimbo zake na alizoshirikishwa. 
Kwenye interview na Vlad Tv rapper Trina amesema Iggy Azalea ni Mtu Powa sana.  

Trina amezungumzia mtazamo wa watu juu ya wasanii wa hiphop wenye ngozi nyeupe nakusema 
“Iggy amekuwa karibu na T.I na amejengewa misingi ya kusini sana, sioni tatizo nini haswa, ananikumbusha wakati  Fergie anatoka"

Trina ana mpango wa kufanya wimbo na Iggy.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Ata Baada Ya Kupokelewa Na Mitazamo Hasi Sababu Ya Rangi Yake,Trina Anamtazamo Tofauti Juu Ya Iggy Azalea Reviewed by Unknown on Tuesday, November 11, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.