Top Ad unit 728 × 90

.

David Moyes Amerudi Uwanjani, Sasa Yupo Na Hii Timu.

Wiki iliyopita Sammisago.com iliripoti kuwa kocha wa zamani wa Man Untd David Moyes  yuko kwenye mazungumzo na klabu ya Real Sociedad baada ya klabu hio kumfukuza kocha wake Jagoba Arrasate kwa matokeo mabaya ya mechi 10.

Imekuwa rasmi kuwa David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa Real Sociedad ikiwa ni kazi ya ukocha ya kwanza toka afukuzwe kazi Man Untd mwezi April mwaka huu baada ya kuongoza timu kwa miezi kumi bila mafanikio aliyowekewa kutimia.

Mkataba wa Moyes ni mpaka June 2016 na mechi yake ya kwanza itakuwa dhidi ya Deportivo mnamo tarehe 22 November.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
David Moyes Amerudi Uwanjani, Sasa Yupo Na Hii Timu. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 11, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.