Baada Ya Kubwaga Ofa Ya Chelsea Na Man Untd, Hii Ndio Timu Mtoto Wa Beckham Amekubali Kujiunga Nayo.
Mtoto mkubwa wa kiume wa mwanasoka mahiri David Beckham 'Brooklyn' amejiunga na timu ya Arsenal baada ya kuwagusa makocha wa Arsenal kwenye majaribio pale Emirates.
Brooklyn mwenye miaka 15 alijaribiwa na Fulham mwaka jana, mwalimu wa soka aliyekuwepo uwanjani wakati wa majaribio ya Brooklyn anasema ni mchezaji mwenye uwezo wa kuja kutegemewa. Mpaka sasa mkataba wake ni wa muda tu ila mwakani kana ataonyesha uwezo atapewa dili kubwa zaidi lenye pesa nyingi.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Baada Ya Kubwaga Ofa Ya Chelsea Na Man Untd, Hii Ndio Timu Mtoto Wa Beckham Amekubali Kujiunga Nayo.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 11, 2014
Rating: