Top Ad unit 728 × 90

.

Hemedy Phd, Kuhusu Msanii Asiyepanga Kufanya Collabo Na Wasanii Wa Nyumbani.

Kijana mwenye vipaji vingi Hemedy Ohd ameweka wazi mawazo yake juu ya msanii  anayesema hategemei kufanya collabo na msanii wa Tanzania. 

Kupitia twitter yake Hemedy ameandika >>>>" MTU ANASEMA HATEGEMEI KUFANYA TENA COLLABO NA MSANII WA BONGO IKIWA NGOMA ZAKE ZOTE KABEBWA NA COLLABO!what a looseR!!thnk before you speak" 
Hii imetokea baada ya Sheta kusema kuwa kwa sasa wazo lake la collabo lipo nje zaidi na anawasanii watano anaowaangalia kwaajili ya collabo hio. 

Je Hili Swala unalichukuliaje, Comment ziko chini hapa 

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 
Hemedy Phd, Kuhusu Msanii Asiyepanga Kufanya Collabo Na Wasanii Wa Nyumbani. Reviewed by Unknown on Tuesday, November 11, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.