Baada Ya Kusema,Nashikiliwa Mateka,Sielewani Na Nicki Minaj,Simpendi Drake,Hili Jipya Kutoka Kwa Tyga.
Tyga amezungumziwa sana hivi karibuni baada ya kutangaza kuwa lebel yake ya Young Money inamshikilia mateka na kwamba hawataki video yake itoke. Tyga pia alisema haelewani na Nicki Minaj na kwamba hampendi Drake.
Kwenye Interview aliyofanyiwa Boss wa Cash Money, Birdman alisema "Tyga bado yupo chini ya Young Money na yeye kama Boss hapendi wasanii wake wanavyotupiana maneno"
Baada Ya Kusema,Nashikiliwa Mateka,Sielewani Na Nicki Minaj,Simpendi Drake,Hili Jipya Kutoka Kwa Tyga.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 13, 2014
Rating: