Picha,Lupita Nyong'o Alivyofuta Uvumi Kuwa Ameachana Na K'Naan Huku Akishinda Tuzo Ya Glamour,#MwanamkeWaMwaka
Mwigizaji Lupita Nyong'o amefuta uvumi kuwa ameachana na K'Naan na kwamba anatoka na Jared Leto baada ya kuonekana naye kwenye tuzo za Glamour November 11. Lupita tayari yupo kwenye cover la jarida la Glamour toleo la December kama mwanamke wa mwaka. Kwenye kupokea tuzo Lupita alisema
"Kuwa mwanamke ni kuwa binadamu, na nitaendelea kuwa binadamu na mwanamke bora zaidi"
"Kuwa mwanamke ni kuwa binadamu, na nitaendelea kuwa binadamu na mwanamke bora zaidi"
Picha,Lupita Nyong'o Alivyofuta Uvumi Kuwa Ameachana Na K'Naan Huku Akishinda Tuzo Ya Glamour,#MwanamkeWaMwaka
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 13, 2014
Rating: